Saturday, May 16, 2015


Mei 29 mwaka huu itakua ni siku ambayo wapenzi wa soka duniani watashuhudia kuchaguliwa kwa Rais mpya wa FIFA. 
Sepp Blatter anapata upinzani kwa mchezaji wa zamani wa Ureno Luis Figo na Rais wa chama cha soka cha  Uholanzi Michael van Praag.
Rais wa FIFA Sepp Blatter ambaye anategemea kuwania tena uongozi wa chombo hicho kinachosimamia soka duniani ameenda tofauti na wazo la kuongeza idadi ya timu zinazocheza kombe la dunia.
“Nitawambia kwamba tubakie na utaratibu tuliokua nao hivi sasa, na mfumo bora ni huu wa kuwa na timu 32. Kwanza kabisa tumetambua kwamba timu 32 ni nzuri kimahesabu kwasababu timu inaweza kucheza siku 28 au 30.”
Kuna mapendekezo yalitolewa kwamba idadi ya timu zinazoshiriki kombe la dunia ziwe zaidi ya 32 za sasa hivi, lakini Blatter ameweka wazi mawazo yake kuelekea uchaguzi wa Rais wa FIFA akisimamia kwenye timu 32.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video