Thursday, May 21, 2015

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Thierry Henry amemuonya vikali mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling kwamba anaweza kuyaweka hatarini maisha yake ya soka endapo ataendelea kulumbana na klabu yake hadharani.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo zinaeleza kuwa, Sterling yuko mbioni kuiambia klabu yake kuwa anataka kuondoka endapo wataendelea na msimamo wa kutaka kumlipa mshahara wa Paundi 100,000 kwa wiki.
"Nadhani wote tunafahamu kuwa kijana huyu amekuwa akipokea ushauri mbaya kutoka kwa baadhi ya watu," Henry aliiambia Sky Sports.
"Huwezi kueleza masuala yako ya mikataba hadharani kupitia vyombo vya habari. Ni lazima uheshimu mashabiki wako, klabu yako ambayo unaichezea pia."
"Iwe unataka kuondoka Liverpool ama la, unapofanya maamuzi kuhusu kuondoka au kubaki, basi tekeleza tu. Usiseme seme tu hadharani."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video