Friday, May 1, 2015


SASA ni rasmi: mpango wa Real Madrid kumsajili Javier Hernandez kutoka Manchester United majira ya kiangazi mwaka huu umevunjika.
Chicharito alijiunga Santiago Bernabeu kutokea Old Trafford kwa mkopo majira ya kiangazi mwaka jana kukiwa na kipengele cha kumsajili kwa mkataba wa kudumu kwa kitita cha Euro milio 20, lakini mpango huo umevunjika jana aprili 30 mwaka 2015.
Nia ya Real kumsaini Hernandezi imeongezeka baada ya nyota huyo raia wa Mexico kuonesha kiwango cha juu wiki za karibuni akifunga goli la ushindi dhidi ya Atletico Madrid katika mechi ya Uefa Champions League na alifunga magoli mawili katika ushindi wa 4-2 mwishoni mwa juma lililopita.
Kwa mujibu wa gazeti la AS, Madrid sasa wameomba kuongeza mkataba ule ule wa mkopo ili kuendelea kupata huduma yake 
.
.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video