KOCHA mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij akiongoza mazoezi ya kikosi chake leo majira ya saa 1:00 usiku katika uwanja wa Royal Bafokeng Stadium
Stars kesho majira ya saa 1:30 kwa saa za Afrika kusini, saa 2:30 kwa saa za Afrika mashariki, watashuka dimbani kuchuana na Swaziland katika mechi ya ufunguzi ya michuano ya Cosafa
0 comments:
Post a Comment