
Shabiki wa Liverpool akiuza jezi za Gerrard kabla ya mechi ya mwisho baina ya Liverpool dhidi ya Crystal Palace usiku huu uwanja wa Anfield

Mafuzu ya Gerrard yanauzwa pamoja na bendera nje ya uwanja wa Anfield

Duka likijaa vifaa vya Gerrard kuelekea mechi dhidi ya Crystal Palace uwanja wa Anfield

Skafu za Gerrard pia zimeuzwa LA Galaxy
0 comments:
Post a Comment