NAHODHA HASSAN ISIHAKA AMWAGA TENA WINO MSIMBAZI Simba imefanikiwa kuongeza mkataba wa miaka mitatu na nahodha wake Hassan Isihaka. Isihaka ambaye awali alielezwa kukataa kusaini akitaka apewe dau kubwa, jana amesaini mkataba huo mbele ya Rais wa Simba, Evans Aveva.
0 comments:
Post a Comment