Sadio Mane raia wa Senegal
barani Afrika amefunga mabao matatu na kuweka rekodi mpya ya hat trick katika
Premier League.
Mane
amefunga mabao matatu ndani ya dakika tatu wakati Southampton ikiivaa Aston
Villa iliyokuwa ugenini.
Rekodi ya Hat trick ilikuwa
inashikiliwa na mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Robbie Fowler aliyefunga mabao matatu ndani ya dakika tano.
Rekodi hiyo ya Fowler
imeendelea kudumu kwa kipindi cha zaidi ya miaka nane.
0 comments:
Post a Comment