Chove (kushoto) na Bi. Mariam Said wamefunga ndoa
HUU ndio wakati wa kurekebisha mambo ya kifamilia kwa wachezaji mbalimbali wa klabu za ligi kuu soka Tanzania.
Msimu wa ligi kuu 2014/2015 ulimalizika mei 9 mwaka huu na sasa baadhi ya wachezaji wapo kwenye michakato ya kufunga ndoa.
Juzi maeneo ya Mbagala, jijini Dar es salaam, mlinda mlango wa JKT Ruvu, Jackson Chove amefunga ndoa na Bi. Mariam Said a.k.a Mama Chove.
Chove amefunga ndoa hiyo akiwa na furaha baada ya kufanikiwa kuisaidia JKT Ruvu kubaki ligi kuu msimu ujao 2015/2016.
0 comments:
Post a Comment