Thursday, May 21, 2015

MOJA ya stori iliyoweka 'headlines' za mageziti ya ulaya ni mchezaji wa kimataifa wa Ujerumani, Mats Hummels kukataa ofa ya kujiunga na Manchester United, kwa mujibu wa klabu yake ya Borussia Dortmund.
United wamekuwa wakivutiwa na Hummels kwa muda mrefu na kocha Louis van Gaal amemuweka katika orodha ya wachezaji wake anaowataka kwa mara nyingine tena majira ya kiangazi mwaka huu.
Lakini Mkurugenzi wa michezo wa Dortmund, Michael Zorc amedai leo kuwa mlinzi huyo mwenye thamani ya paundi milioni 37 ataendelea kubakia katika timu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya Ujerumani, Bundesliga.
Manchester United are back in the race to sign Valencia's Nicolas Otamendi following Hummels' snub 
Wakati huo, United imerudisha tena mpango wake wa kumuwinda Nicolas Otamendi mwenye thamani ya paundi milioni 36, lakini bado hawajafanya mawasiliano na klabu yake ya Valencia.
Van Gaal haridhishwi na safu yake ya ulinzi inayoongozwa na Phil Jones, Jonny Evans na Marcos Rojo.
Evans anahusishwa kuondoka Manchester United na kutua Everton.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video