Sunday, May 31, 2015


Kikosi cha Chelsea kipo kwenye ziara ya sehemu mbalimbali duniani. 
Walipofika Sydney Australia kama kawaida ulifanyika mkutano na waandishi wa habari ili kupata majibu ya maswali yao.
Swali la mwandishi mmoja lilipendwa na kila mtu kutokana na majibu ya The Special One, Jose Mourinho
 Swali lilikua hivi “Una ujumbe wowote kwa Arsene Wenger baada ya kuvunja rekodi ya FA Cup"”  
Mourihno akasema “ndio wameshinda”. Mwandishi akaongezea una ujumbe wowote kwenda kwake, Jose Mourihno akajibu “No, Enjoy” , akimaanisha kwamba Wenger afurahie kombe lake na kuwaacha waandishi wa habari kwenye vicheko.
Lakini pia John Terry alisema kwamba bado ana miaka michache iliyobaki kubakia kwenye soka na anaamini atamaliza soka lake akiwa ndani ya Chelsea.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video