Sunday, May 17, 2015

Herrera akifunga goli lake

MANCHESTER United ikiwa uwanja wa nyumbani wa Old Trafford imetoka sare ya 1-1 dhidi ya Arsenal katika mechi ya ligi kuu England iliyomalizika usiku huu.
Ander Herrera katika dakika ya 30' alipata pasi nzuri kutoka kwa Ashley Young na kuifungia Manchester United bao la kuongoza.
United wakiwa na matumaini ya ushindi, dakika ya 82' Tayler Blackett aliyetokea benchi alijifunga goli katika harakati za kuokoa na kufanya mechi hiyo imalizike kwa sare hiyo.
Marouane Fellaini (left) and Ashley Young (right), who both played a part in the build-up to the goal, celebrate with Herrera
Kama ilivyo kawaida kwa mechi za karibuni, United waliongoza umiliki wa mpira kwa 58% dhidi ya 42% za Arsenal.
Mbali na hilo, United wamepiga mashuti 6 dhidi ya 4 yaliyolenga lango, wakati ambayo hayakulenga lango, mashetani wekundu wamepiga 6 dhidi ya 2 ya Gunners.
Hata hivyo kila timu imepiga kona 5 katika mechi hiyo iliyovuta hisia za mashabiki wengi.
Theo Walcott crosses, and the ball is deflected off the unfortunate Tyler Blackett to bring Arsenal level at Old Trafford
Matokeo haya yanaonesha wazi kuwa Man United watamaliza nne bora, wakati Arsenal watamaliza nafasi ya pili na Man City nafasi ya tatu.

HUU NDIO MSIMAMO

JISOMEE MWENYEWE TAKWIMU ZA MECHI HIYO....
statistics :
6
shots on target
4
6
shots off target
2
58
possession (%)
42
5
corners
5
8
offsides
2
16
fouls
8
1
yellow cards
0
7
goal kicks
2

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video