Toure akifunga moja ya goli lake leo
SWANSEA City ikiwa mbele ya mashabiki wake 20669 ndani ya dimba la nyumbani la Liberty imebomolewa mikwaju 4-2 dhidi ya wageni wao Manchester City katika mechi ya ligi kuu soka England iliyomalizika jioni hii.
Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast, Yaya Toure amepiga magoli mawili dakika ya 21' na 74.
James Milner naye amefunga goli moja katika dakika ya 36' wakati dakika za usiku Wifried Bonny ametupia msumari wa nne.
Magoli ya kufutia machozi kwa Swansea yalifungwa na Gylfi Sigurdsson dakika ya 45' na Bafetimbi Gomis dakika ya 64'.
TAKWIMU ZA MECHI HIYO
statistics :
8
shots on target
11
3
shots off target
6
47
possession (%)
53
11
corners
7
1
offsides
2
8
fouls
8
0
yellow cards
3
6
goal kicks
3
1
treatments
0 comments:
Post a Comment