Thursday, May 21, 2015

RASMI! kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF inatarajiwa kukutana jumapili mei 24 mwaka huu ikiwa ni kikao cha kawaida cha kamati hiyo.

Moja ya ajenda katika kikao hicho itakua ni kupokea na kujadili mienendo, maandalizi na maendeleo ya timu zetu za Taifa za mpira wa miguu nchini hususani Taifa Stars.
Stars imelitia aibu soka la Tanzania baada ya kufungwa na nchi vibonde za Swaziland na Madagascar na kutupwa nje ya michuano ya Cosafa.
Kupitia akaunti yake ya Twitter (Rejea habari za mwanzo za mtandao huu),  Rais wa TFF  amesikitishwa na matokeo ya Stars akidai kuwa wamewekeza fedha nyingi lakini matokeo si mazuri.
Je, jumapili Mart Nooij, kocha wa Taifa Stars ataendelea kuwepo au ataondoka? Tusubiri.....

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video