Friday, May 22, 2015



Bondia Raymond Mbwago kutoka katika Super d Boxing Club ya Uhuru Kariakoo akipima uzito kwa ajili ya mpambano wa kesho katika ukumbi
Panandi Panandi ilala. Kulia ni msimamizi kutoka katika kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBC) Ally Bakari. Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Salim Mponda akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho utakaofanyika katika ukumbi wa Panandi Panandi, ilala bungoni. Kulia ni Alli Bakari Champion ambaye ni msimamizi kutoka kamisheni ya ngumi (TPBC).
 Picha na SUPER D BOXING NEWS


Bondia Ramadhani Maonya kutoka Super D Boxing Club iliyopo Shule ya Uhuru Kariakoo akipima uzito kwa ajili ya mpambano wa kesho jumamosi katika ukumbi wa Panandi Panandi, ilala Dar es salaam. Kulia ni msimamizi kutoka kamisheni ya ngumi za kulipwa (TPBC) Ally Bakari.

Msimamizi wa waamuzi wa mchezo wa masumbwi kutoka kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Ally Bakari kushoto akiwakumbusha sheria mbalimbali mabondia Ramadhani Maonya (kulia) na Bilali Ngonyani (katikati).

Msimamizi wa waamuzi kutoka Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Nchini (TPBC) Ally Bakari (kulia) akiwakumbusha sheria mbalimbali mabondia waliojitokeza katika kupima kwa ajili ya mpambano wa kesho jumamosi katika ukumbi wa Panandi Panandi, ilala bungoni.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video