Wednesday, May 20, 2015

Winga hatari wa kimataifa wa Tanzania na Free Stars Stars ya inayoshiriki ligi kuu Afrika kusini, Mrisho Khalfan Ngassa (wa pili kushoto) alijitahidi kucheza vizuri kuisaidia Taifa Stars usiku wa leo, lakini alishindwa kuiokoa na kipigo cha magoli 2-0 kutoka kwa Madagascar. 
Ngassa 
Hata hivyo Ngassa alicheza kwa kipindi kimoja tu kwani dakika ya 46' alikwenda benchi na nafasi yake ikachukuliwa na Simon Msuva.
Mwinyi Kazimoto( wa kwanza kulia pichani juu) alishindwa kushirikiana vizuri safu ya kiungo na Salum Abubakar na Said Ndemla kwa dakika 45 za kipindi cha kwanza, hata alipoingia Shomari Kapombe, Simon Msuva na Ibrahim Hajib kipindi cha pili bado hawakucheza vizuri.
Beki wa Mtibwa Sugar na Taifa Stars, Salim Mbonde (kulia) alijitahidi kuokoa hatari na mlinzi mwenzake, Aggrey Morris, lakini walikosa sapoti kutoka sehemu ya kiungo mkabaji kwasababu Sure Boy alishindwa kutimiza majukumu yake, hivyo kuruhusu magoli 2-0 na kutupwa nje ya Cosafa.
Hawa jamaa wamefuta matumaini ya Watanzania kufuatia kuiadhibu kwa magoli 2-0
Mrisho Ngassa (kushoto) akijaribu kumtoka mlinzi wa Madagascar, lakini ngoma ilikuwa nzito
Mlinzi wa kushoto wa Yanga na Taifa Stars, Oscar Joshua (kulia) alishindwa kuendana na kasi ya vijana wa Madagascar, alikuwa anapanda na kuacha eneo lake, lakini alishindwa kurudi kwa haraka na kusababisha magoli kupitia upande wake, ingawa timu nzima haikucheza vizuri.
Erasto Nyoni (kushoto) hakucheza mechi nyingi za klabu yake ya Azam fc mwishoni mwa msimu 2014/2015 kutokana na majeruhi, lakini kocha Mart Nooij alimuita kikosi. Leo alikosa kasi ya kuwamudu vijana wa Madagascar.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video