Friday, May 22, 2015

AMA kweli 'Tanzania kichwa cha Mwenda Wazimu"!
Timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars imefungwa goli 1-0 na Lesotho katika mechi ya kukamilisha ratiba ya michuano ya kombe la Cosafa linaloendelea nchini Afrika kusini.
Beki wa kati wa Stars,  Salim Mbonde amejifunga goli hilo dakika ya 77 akiwa katika harakati za kuokoa.
Hii ni mechi ya tatu  mfululuzi kwa Stars kufungwa kwani mechi ya kwanza walilala 1-0 dhidi ya Swaziland na mechi ya pili wakadundwa 2-0 na Madagascar.
Kwa matokeo hayo Tanzania wamemaliza wa mwisho katika kundi B bila kupata pointi yoyote wala goli.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video