Kuelekea pambano la ndondi la kukata na shoka kati ya Floyd Mayweather Jr na Manny 'Pac Man' Pacquiao kuna mabondia watano ambao kwa nyakati tofauti wamewahi kupambana na Mayweather na Pacquiao.
Na hivi ndivyo namna ambavyo kila mmoja aliwashinda wapinzani hao.
OSCAR DE LA HOYA
Mayweather alishinda, ilikuwa ni mwaka, 2007
Pacquiao alishinda, ilikuwa ni mwaka, 2008
Kwa mujibu wa wachambuzi wa mchezo huo wanasema kuwa Pacquiao alishinda kwa mbinu bora zaidi
Hapa Floyd Mayweather akimchapa konde la maana usoni mpinzani wake Oscar de la Hoya.
Hapa Manny Pacquiao akimchakaza pia De La Hoya na kumsababishia kustaafu masumbwi rasmi
De La Hoya akioneka angalau ana nafuu kidogo mara baada ya kupambana na Mayweather (Kushoto) ukilinganisha na anavyoonekana upande wa kulia mara baada ya kupambana na Pacquiao
RICKY HATTON
Mayweather alishinda kwa Techinical Knock Out mwaka 2007, tarehe 10
Pacquiao alishinda kwa Knock Out tarehe , 2009
Katika hili pambano Pacquiao anapewa faida kwa kushinda kwa ubora zaidi ya Mayweather
Hapa anasema: 'Bado narudia kwa kusema kuwa Floyd anatakiwa kujifunza zaidi namna ya kumpiga huyu (De La Hoya).'
Ricky Hatton akipambana na Mayweather
Pacquiao akionekana kumchakaza Ricky Hatton kiasi cha kupoteza fahamu kabisa katika mzunguko wa pili tu.
Hatton upande wa kushoto baada ya kupambana na Mayweather na kulia akionekana baada ya kupambana na Pacquiao.
JUAN MANUEL MARQUEZ
Mayweather alishinda mwaka, 2009
Pacquiao alidroo mwaka, 2004
Pacquiao alishinda mwaka, 2008
Pacquiao wins majority decision, 2011
Pacquiao alipoteza kwa Knock Out katika raundi ya 6 mwka, 2012
Hapa karata imemuangukia Mayweather.
Mayweather aanasema: 'Mayweather mbinu bora zaidi za kushinda pambano hili. Kama Manny akishinda, ni vizuri kwangu. Moyo wangu uko kwa Pacquiao lakini nadhani Mayweather ni bora kuliko Pacquiao.'
Mayweather akipambana na Manuel Marquez
Marquez alipmpa Pacquiao wakati mgumu sana, lakini alisubiri mapaka pambano la mwisho kati ya mapambano 4 kumshinda Pacquiao.
Marquez upande wa kushoto baada ya kupambana na Mayweather na upande wa kulia baada ya kupambana na Pacquiao
SHANE MOSLEY
Mayweather alishinda mwaka, 2010
Pacquiao alishinda mwaka, 2011
Mayweather akipambana na Mosley
Mosley akipambana na Pacquiao.
Mosley, kulia anavyooneka baada ya pambano dhidi ya Mayweathe na Kushoto anavyooneka baada ya kupambana Pacquiao.
MIGUEL COTTO
Mayweather alishinda mwaka, 2012
Pacquiao alishinda mwaka, 2009
Advantage: kwenye pambano hili Pacquiao alionekana kushinda kwa mbinu bora zaidi ya Mayweather.
MIGUEL anasema: 'Manny ana kasi na nguvu. Manny yuko bora zaidi ya Mayweather.'
Miguel Cotto akimtundika konde Mayweather kabla ya kushindwa katika raundi ya mwisho kabisa ya mchezo.
Cotto akipambana na Pacquiao
Cotto, upande wa kushoto baada ya pambano dhidi Mayweather na kulia kama anavyoonekana baada ya kupambana na Pacquaio
0 comments:
Post a Comment