Saturday, May 23, 2015

Jose Mourinho amekiri kuwa anajuta kwa kauli yake ya 'kampeni dhidi ya Chelsea' ambayo aliitoa mwanzoni mwa msimu.
Kocha huyo wa Chelsea alionekana akitoa kauli hiyo katika moja ya vipindi vya Sky Sports kinachoitwa 'Sky Sports show Goals on Sunday' mnamo mwezi Februari, ambapo kwa takribani dakika 27 alikuwa akifoka kulalamikia uonevu unaofanywa dhidi ya timu yake.
Akiongea na wanahabari siku ya Ijumaa, Mourinho alisema: 'mimi sio aina ya watu wanaojutia. Ulichokifanya umekifanya tu. Kilichotokea, kimetokea tu. huwezi kubadilisha mambo. Muda haurudi nyuma. 
Jose Mourinho amekiri kuwa anajutia kauli yake ya 'Kampeni dhidi ya Chelsea' ambayo aliitoa mwanzoni mwa msimu.
Mourinho, kama anavyoonekana pichani akiwa Sky Sports mwezi Februari, kwa takribani dakika 27 alikuwa akilalamikia uonevu dhidi ya timu yake.
'Kulikuwa na makosa mengi sana dhidi yetu, huo ndio uhalisia, lakini huo ndio mpira. labda"kampeni" sio neno zuri. Pengine ningeliondoa hilo neno kwenye maelezo na maoni yangu, lakini huo ndio ukweli. 
'Tumekuwa tukifanyiwa maamuzi mabaya kwa kipindi kirefu sana. Lakini pia nilifanya maamuzi mabaya, ila hakuna tatizo.'

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video