Wes Morgan akifunga goli lake
BAADA ya kuchapwa 3-1 na Chelsea mwanzoni mwa wiki hii, Leicester City na wenyewe wamejipigia Newcastle United magoli 3-0 katika mechi ya mapema ya ligi kuu England leo hii.
Ulloa akifunga moja ya goli lake
Magoli ya Leicester yamefungwa na Jose Leonardo Ulloa dakika ya 1', baadaye dakika ya 17' Wes Morgan akaandika bao la pili na goli la tatu limefungwa tena na Leonardo kwa njia ya mkwaju wa penalti dakika ya 48'.
MSIMAMO SASA
TAKWIMU ZA MECHI HIYO HIZI HAPA
statistics :
8
shots on target
4
9
shots off target
8
47
possession (%)
53
10
corners
7
3
offsides
1
10
fouls
13
1
yellow cards
4
0
red cards
2
9
goal kicks
7
5
treatments
0 comments:
Post a Comment