Kwa mara ya kwanza Zari All White Party imefanyika jana na imefanyika kwa mafanikio makubwa. Dunia nzima ilikua na uwezo wa ku-stream event hiyo ambayo pia ilihudhuliwa na mastaa mbalimbali.
Nay wa Mitego na Diamond walionjesha wimbo wao mpya kwa mara ya kwanza Mapenzi au Pesa ambao ulivutia watu kwenye ukumbi. Pia mchekeshaji kutoka KenyaEric Omondi alifanya yake pale ukumbini kwa kuvunja watu wa mbavu. Hizi ni baadhi ya picha za tukio la jana usiku.
0 comments:
Post a Comment