MAGOLI mawili ya Nacer Chadli dakika ya 54' na Danny Rose dakika ya 61' yametosha kuipa ushindi wa 2-0 Tottenham Hotspurs dhidi ya Hull City katika mechi ya ligi kuu soka England.
MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA EPL ZILIZOMALIZIKA LEO HAYA HAPA...
FT
0 comments:
Post a Comment