Friday, May 22, 2015

Winga wa Liverpool Jordon Ibe na beki Jon Flanagan wamesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumiakia klabu yao.
Ibe, ambaye hapo awali alikuwa akikipiga kwa mkopo katika klabu ya Derby, amedondoka saini ya miaka mitano ambayo imemuongezea maslahi zaidi kuliko alipokuwa akikipiga katika 'academy' ya klabu hiyo.
Flanagan ambaye amekuwa ametoka kufanyiwa upasuaji wa pili wa goti, amesaini mkataba wa mwaka mmoja ambao utamuwezesha kubaki klabuni hapo mpaka mwakani. 
Jordon Ibe akisaini mkataba mpya na klabu yake ya Liverpool ambao utamuweka klabuni hapo mpaka mwaka 2020. 
Baada ya kusaini mkataba huo mpya Ibe alisema,''Nilifurahi sana mara baada ya kuitwa kwenye timu hii ya wakubwa, na nimefurahi pia kupewa nafasi ya kuitumikia klabu yangu. Natumaini nitaendelea kutoa mchango mkubwa sana kadiri muda unavyokwenda."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video