Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania kinachoanza usiku wa leo dhidi ya Swaziland hiki hapa: Deo Munishi ‘Dida’, Shomary Kapombe, Oscar Joshua, Salum Mbonde, Aggrey Morris, Erasto Nyoni, Mrisho Ngassa, Mwinyi Kazimoto, John Bocco, Said Ndemla na Simon Msuva.
Wachezaji wa akiba: Mwadini Ali, Abdi Banda, Mwinyi Hajji Mngwali, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Frank Domayo, Hassan Dilunga, Ibrahim Hajib na Juma Luizio.
Mechi hiyo itaanza saa 1:30 usiku kwa saa za Afrika kusini sawa na saa 2:30 kwa saa Tanzania.
0 comments:
Post a Comment