BAADA ya jana kuona kikosi bora cha VPL 2014/2015 kilichopendekezwa
na kocha Joseph Kanakamfumu, leo tuliahidi kukuletea kikosi bora cha kocha wa
Mgambo JKT, Bakari Shime.
KIKOSI BORA CHA VPL 2014/2015 KILICHOPENDEKEZWA NA
BAKARI SHIME HII HAPA;
1.
Mohamed ally Yusuph (Tanzania Prisons)
2.
Hamad Juma (Coastal Union)
3.
Yassin Mustafa (Stand United)
4.
Shomari Kapombe (Azam fc)
5.
Salim Mbonde (Mtibwa Sugar)
6.
Jonas Mkude (Simba)
7.
Simon Msuva (Yanga)
8.
Ally Nassor (Mgambo)
9.
Rashid Mandawa (Kagera Sugar)
10.
Ibrahim Ajib (Simba)
11.
Malim Busungu (Mgambo)
Kesho tutakuletea kikosi bora
kilichopendekezwa na mwandishi wa habari za michezo na mchambuzi wa soka wa
Gazeti la michezo la Championi, Saleh Ally
0 comments:
Post a Comment