BAADA ya kuona vikosi bora vya
ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2014/2015 uliomalizika mei 9 mwaka huu
kutoka kwa makocha Hans van der Pluijm (Yanga), Jamhuri Kiwhelo (Coastal
Union), Juma Mwambusi (Mbeya City) na Mecky Mexime (Mtibwa Sugar), jana
tuliahidi kuleta kikosi bora cha kocha Joseph Kanakamfumu na hiki ndicho kikosi
chake bora alichopendekeza:
1.
Ally Mustafa (Yanga)
2.
Juma Abdul (Yanga)
3.
Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ (Simba)
4.
Salim Mbonde (Mtibwa Sugar)
5.
Kelvin Yondani (Yanga)
6.
Michael Balou (Azam fc)
7.
Said Ndemla (Simba)
8.
Salum Telela (Yanga)
9.
Simon Msuva (Yanga)
10.
Rashid Mandawa (Kagera Sugar)
11.
Deus Kaseke (Mbeya City)
Kanakamfumu amesema katika kikosi chake hajawaweka
wachezaji kwa kigeni kwasababu utafiti wake uliangalia zaidi wachezaji wazawa,
lakini kwa upande wa kocha bora msimu wa
2014/2015 amemtaja kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm.
Kesho tutakuletea kikosi bora cha kocha wa Mgambo
JKT, Bakari Shime…endelea kutufuatilia
0 comments:
Post a Comment