STEVEN Gerrard amesahihisha makosa yake dakika ya 87' akiifungia Liverpool goli la pili baada ya kukosa mkwaju wa penalti dakika ya 79.
Nahodha huyo alipokea pasi ya mwisho ya mwisho kutoka kwa Mbrazil, Philippe Coutinho.
Liverpool imeshinda 2-1 dhidi ya Queens Park Ranger katika mechi ya ligi kuu England iliyomalizika jioni ya leo uwanja wa Anfield.
Goli la kwanza la Majogoo wa jiji limefungwa dakika ya 20' na Phillipe Coutinho akimalizia pasi ya Rickie Lambert.
Goli la kufutia machozi la QPR limefungwa na Leroy Fer dakika ya 73.
TAKWIMU ZA MECHI HIZI HAPA
statistics :
7
shots on target
3
10
shots off target
7
63
possession (%)
37
9
corners
6
3
offsides
3
9
fouls
18
2
yellow cards
4
0
red cards
1
9
goal kicks
13
1
treatments
0
0 comments:
Post a Comment