Wednesday, May 20, 2015

Tetesi zilizopo zinadai kuwa Radamel Falcao amepewa ofa ya kujiunga na mabingwa wapya wapya ligi kuu Uingereza klabu ya Chelsea huku Monaco wakijiandaa kumtoa tena kwa mkopo kwa msimu wa pili mfululizo.
Falcao alionekana kuwaaga mashabiki wa Man United katika uwanja wa Old Trafford wakati alipofanyiwa mabadiliko katika mchezo dhidi ya Arsenal ambapo timu hizo zilitoka 1-1.
Falcao akiwaaga mashabiki wa Man United katika mchezo dhidi ya Arsenal uliopigwa Old Trafford
Bodoi ya Chelsea wanatarajia kukutana kujadili mustakabali wa Didier ama aongezewe mwaka mwingine mmoja au la.
Kutokana na tatizo la majeraha ya mara kwa mara ya mshambuliaji chaguo namba moja wa klabu hiyo Diego Costa, Falcao anaonekana ndiye mtu sahihi wa kusaidiana naye.







0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video