Thursday, May 21, 2015

KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City fc, Deus Kaseke amekanusha taarifa zinazoendelea kusambaa kwamba amesaini kuichezea Yanga msimu ujao wa ligi kuu soka Tanzania bara.
Hata hivyo Kaseke amesema yupo tayari kuondoka Mbeya City kwenda klabu yoyote itakayompa maslahi mazuri, lakini kwasasa yupo katika mazungumzo ya awali na klabu za Simba na Yanga.

“Mimi sijasaini klabu yoyote, namaliza mkataba Mbeya city mwezi wa sita, bado sijafanya mazungumzo na viongozi wa klabu yangu. Simba na Yanga wananitafuta, mazungumzo yanaendelea, mpira kazi yangu, naangalia maslahi yangu binafsi”. Amesema Kaseke na kusisitiza: “Mimi niko tayari kuondoka Mbeya City timu yoyote ikinipa maslahi mazuri, lakini jua sijasaini Yanga. Simba tuna mazungumzo ya awali tu, lakini hatujaafikiana, kuna wakala wangu anayenisimamia”

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video