Baada ya kumaliza msimu wa 2014/2015 wa ligi kuu nchini Hispania La Liga, mshambuliaji hatari wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ameamua kujiachia katika ufukwe wa St Tropez.
Ronaldo anapumzika baada ya kucheza mechi 54 za mashindano yote na kufunga magoli 61
Wakati Lionel Messi akiendelea kuing’arisha Barcelona, Ronaldo ameamua kupumzika kwa kuwa sasa hana cha kuisaidia Real Madrid.
Sasa ni bata tu na ameonekana akiwa na marafiki zake katika boti za kifahari.
0 comments:
Post a Comment