Wednesday, May 20, 2015

Philippe Coutinho ameachaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka kwa msimu huu katika klabu ya Liverpool jana Jumanne.
Coutinho (22), amefunga magoli matano na kutoa pasi za tano za magoli katika michezo 34 ya ligi aliyocheza msimu huu, huku akimshinda Rahim Sterling, Martin Skrtel, Jordan Henderson na Simon Mignolet katika tuzo hiyo.
“Hiki ni kitu maalumu sana kwangu, pia ina maana kubwa sana kuipokea kutoka kwa Gerrard, sina zaidi cha kuongeza bali ninatoa shukrani zangu za dhati kwa wachezaji wenzangu wote kwa mchango wao,” alisema kiungo huyo mahiri.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video