Sunday, May 17, 2015


MICHUANO ya Cosafa imenza kutimua vumbi jioni ya leo nchini Afrika kusini.
Mechi ya ufunguzi baina ya Namibia na Shelisheli imemalizika kwa suluhu (0-0), hata hivyo imeripotiwa kuwa mashabiki wachache walijitokeza kwenye mechi hiyo.
Kesho timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars iliyopangwa kundi B itashuka dimbani kuvaana na Swaziland ndani ya uwanja wa Royal Bafokeng.
Msemaji wa Shirikisho la soka Tanzania, TFF, aliyeambatana na timu Afrika kusini amesema hali ya kikosi ni nzuri na wapo tayari kwa mechi hiyo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video