Friday, May 1, 2015

Gazeti la Hispania la As limekaa chini na Javier Hernandez 'Chicharito'na kufanya naye mahojiano maalumu, baadhi ya maswali yaliyoulizwa ni haya hapa chini na yeye amejibu
Louis Van Gaal anatofautiana na Carlo Ancelotti?
Chicharito: Ndiyo! wanatofautiana. Ancelotti ana mawasiliano na sisi na pia ni mtulivu. Van Gaal anapenda taratibu, ratiba zake ni ngumu, anajikita zaidi kwenye nidhamu. Ancelotti anafanana na (Sir Alex) Ferguson, anapenda uhuru"
 Cristiano Ronaldo anaridhika na magoli?
Yeye sio bora zaidi duniani. Haridhiki hata siku moja, siku zote anataka zaidi. Bila kuwa na akili ya namna hiyo huwezi kuwa bora.
Je, Cristiano Ronaldo anachukia ukimnyima pasi?
Hapana. kwenye mechi dhidi ya Almeria niliziona jezi nyeupe mbili kwenye boksi na alikuwa Arbeloa aliyegusa mpira"
katika mbio za mita 40 dhidi ya Cristiano na Bale Berbabeu unaweza kuwa wa mwisho?
Nandhani ndiyo-lakini ni milimita moja tu (anacheka)

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video