WEST Bromwich Albion ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani wa Hawthorns imewafumua magoli 3-0 mabingwa wapya wa ligi kuu England, Chelsea.
Magoli ya West Brom katika mechi hiyo pekee ya ligi kuu England usiku huu yamefungwa na Saido Berahino dakika ya 9' na Berahino akaongeza la pili kwa mkwaju wa penalti dakika ya 47.
Bao la tatu limefungwa na 60' na Chrus Brunt.
Hata hivyo Chelsea walicheza pungufu kwa muda mrefu kwani Cesc Fabregas ameoneshwa kadi nyekundu dakika ya 29' kipindi cha kwanza.
Takwimu za mechi zinaonesha Chelsea wamemiliki mpira kwa asilimia 59 dhidi ya 41 za wenyeji wao, lakini wamepiga mashuti matatu tu yaliyolenga lango, wakati West Brom wamepiga mashuti 6.
Takwimu za mechi zinaonesha Chelsea wamemiliki mpira kwa asilimia 59 dhidi ya 41 za wenyeji wao, lakini wamepiga mashuti matatu tu yaliyolenga lango, wakati West Brom wamepiga mashuti 6.
SOMA TAKWIMU ZA MECHI HIYO
West Brom (kushoto) v Chelsea (kulia) chini
statistics :
6
shots on target
3
3
shots off target
5
41
possession (%)
59
3
corners
4
1
offsides
1
12
fouls
11
3
yellow cards
2
0
red cards
1
4
goal kicks
2
3
treatments
1
0 comments:
Post a Comment