MSHAMBULIAJI WA Brazili, Neymar amepiga picha na vijana wenzake wa Samba, Dani Alves, Rafinha, Adriano (Pichani chini) walipokuwa wakielekea Vicente Calderon ambapo wanacheza na Atletico Madrid kuanzia majira ya saa 2:00 usiku wa leo na Barca wanaweza kutangaza ubingwa kama watashinda.
Home
»
KIMATAIFA
» CHEKI VIJANA WA SAMBA WALIVYOFURAHIA KUWAFUATA ATLETICO MADRID, RATIBA YOTE YA LA LIGA HII HAPA...
Sunday, May 17, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment