Thursday, May 21, 2015

GAZETI la kila siku la Hispania, AS, limeikariri Sky Sport Italia wakiripoti kuwa Carlo Ancelotti anaondoka Real Madrid jumapili ya juma hili.
Real Madrid watahitimisha msimu wa 2014-15 bila kombe lolote na hali hiyo ya ukame  imetia mchanga kibarua cha Ancelotti.
AS wanaripoti kwamba baada ya msimu kuisha, Ancelotti atakutana na rais wa klabu, Florentino Perez na wawili hao kwa pamoja wataafikiana  kuvubja mkataba unaotakiwa kumalizika juni 30 mwaka 2016.
Wakati Ancelotti akiondoka Bernabeu, tetesi zinasema Real inamfukuzia Benitez au kocha wa sasa anayeondoka Borussia Dortmund, Jurgen Klopp.
Benitez, kocha wa zamani wa timu ya vijana ya Real Madrid ambaye pia aliwapa makombe mawili ya La Liga, Valencia anapewa nafasi kubwa zaidi ya kumrithi Ancelotti.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video