Thursday, May 21, 2015

Robert Lewandowski na Jerome Boateng ilibidi watenganishwe baada ya kunusurika kurushiana makonde wakati wakiwa na timu yao wakifanya mazoezi. 
Boateng alikasirishwa na faulo mbaya aliyochezewa na Lewandowski na ndipo alipotaka kumgeuzia kibao Mpolandi huyo. 
Rafinha, Medhi Benatia na nahodha wa timu hiyo Philipp Lahm walikuwa na kazi ya kufanya kuamulia ugomvi kati ya wawili hao.
Jerome Boateng (wa pili kulia) alikuwa na hasira baada ya Robert Lewandowski (wa pili kushoto) kumfanyia faulo mbaya.

Hapa wakiamuliwa na wachezaji wenzao.


Pep Guardiola hakufurahishwa na walichokifanya wawili hao.


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video