Friday, May 1, 2015

KATIKA mkutano wake na waandishi wa habari leo, Arsene Wenger ameamua kumpa somo Jose Mourinho kuhusu kujiheshimu.
Wenger alipigwa vijembe na Mourinho jumapili iliyopita akisema kuwa ameshindwa kushinda kombe kwa muongo mmoja uliopita.
Mourinho pia alimponda Wenger kwa kumtoa mshambuliaji wake namba moja Olivier Giroud wakati yeye alikuwa uwanja wa nyumbani.
Watu walidhani Wenger atajibu mapigo leo, lakini meneja huyo wa Arsenal amesema:
"Nadhani kitu cha muhimu tukiwa mameneja ni kuheshimiana.... watu wengine (Jose Mourinho) wanatakiwa kujirekisha juu ya hilo,".

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video