Wednesday, May 20, 2015

ARSENAL wakiwa uwanja wa nyumbani wa Emirates wamepiga 'Boli' kubwa na kumiliki kwa 74% dhidi ya 26% za wageni wao Sunderland, lakini wameambua suluhu (0-0).
Washika bunduki hao wa London wamepiga mashuti 10 yaliyolenga lango dhidi ya 3 ya Sunderland,lakini walishindwa kugusu nyavu za 'paka weusi'.
Kikosi cha Arsene Wenger kimepata kona 5 dhidi ya 2 za Sunderland.
Stori kubwa leo hii ni Alexis Sanchez kufikisha mechi ya 50 akiwa na  Arsenal, wakati Theo Walcott amecheza mechi yake ya 300 akiwatumikia washika bunduki hao wa London.
Baada ya sare ya usiku huu wachezaji wa Sunderland wameshangilia kama vile wameshinda, sababu ni moja, sasa watacheza ligi kuu msumu ujao. Kama wangechapwa leo wangeshuka daraja.
Hata hivyo mashabiki wachache wa Arsenal walijitokea kushuhudia mechi hii kama inavyoonekana pichani chini

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video