Wednesday, May 20, 2015

Van Gaal, De Gea and auction winner Steve Cross pose with the Sir Matt Busby Player of the Year trophy
Manager Van Gaal presents the Player of the Year trophy to David de Gea after his double victory

HOTUBA YA LOUIS VAN GAAL KWA MASHABIKI WA MAN U KATIKA UTOAJI WA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MSIMU WA KLABU HIYO 

Wakati unaanza msimu wa ligi huku ukiwa umecheza michezo 10 halafu umefanikiwa kupata pointi 13 na wewe ndio kocha wa timu, tena timu maarufu zaidi duniani na pia unacheza katika uwanja wa nyumbani, mimi pia ni binadamu tena ambaye pia nina uzoefu na timu nyingine nyingi tu, ukipata matokeo kama hayo utapendwa sana na mashabiki wako na nilikuja hapa Old Trafford, ndani ya michezo 10, timu ina pointi 13,nikiwa naingia uwanjani nlikiwa najiuliza nitawaambia nini mashabiki hawa lakini cha kushangaza umma wa mashabiki ulikuwa ukinipigia makofi huku wakiwa wamesimama, nikajuliza inakuaje tena mashabiki wananisapoti kwa hali hii?
Asanteni sana kwa hilo, tunaweza kuendelea sasa – sio mimi tu bali wafanyakazi wenzangu hasa wachezaji kwa sababu sio rahisi sana wakati ukiwa katika klabu kubwa kama hii, umecheza michezo 10 halafu una pointi 13 na wakati huo wewe ni kocha mpya ambaye unahitaji matokeo zaidi kuliko makocha wengine. 
Ni ngumu sana ukizaingatia tulikuwa na majeruhi wengi sana katika mzunguko wa kwanza lakini tuliendelea kuwa na ari kubwa katika timu, kitu ambacho si cha kawaida na heshima kubwa sana kwa timu, ari. nakumbuka tulitoka nafasi ya 13 mpaka ya 3 katika msimamo wa ligi.
Baada ya huo mwanzo mbaya. Ilibidi tuwaamini wachezaji pamoja na wafanyakazi wote katika timu ili kuongeza morali na kumaliza katika nafasi ya 2. Nakumbuka katika mkutano pamoja na wachezaji pamoja na nahodha Wayne Rooney ambaye alisema sasa tunapigana kupata nafasi ya pili na mimi nikasema ndio. Tupambane ili kuipata!'
Kama unakumbuka katika mchezo dhidi ya Arsenal. Tulikuwa bora kabisa na ni mchezaji bora ambaye ninaweza kusema siku ile ndio alifanya kosa ambalo lilipelekea sisi kupoteza mchezo na nikasahau kabisa ule mkutano na wakati huo unatakiwa kukumbuka kuwa tumeshinda michezo 6 mfululizo.
Na pia tuliwafuata Chelsea. Unakumbuka mchezo ambao tuliwafuata Chelsea? hapana,hapana, hapana, unatakiwa kusikiliza. Ninataka msikilize. Kwa sababu kwa wakati huo tulikuwa na pointi 50, baada ya hapo tukiwa katika vyumba vya kubadilishia nguo Rooney alisema, tumeshinda michezo sita mfululizo na sasa tunawafuata Chelsea ambao kwa wakati ule walikuwa bora zidi yetu?! Ni rahisi kusema hivyo vyumbani. Ninaweza kuamini hivyo kwamba ilikuwa kweli lakini tlipoteza mchezo ule. Tulipoteza mchezo ule lakini lakini hivi unaweza kuamni kuwa una 80% ya umiliki wan mpira, hapo unakuwa na uhakika kwa asilimia 10 na na wao asilimia 3, walikuwa na tatu lakini walishinda.
Kama tungeshinda mchezo ule piga hesabu tungepata pointi ngapi maana baada ya hapo ulipoteza michezo kama mitatu hivi mfululizo. Lakini wakati unaangalia ssis tukiwa na pointi 13 na Chelsea wana pointi 83 basi tungekuwa mabingwa.
Ninachotaka kusema ni kwamba tumekaribia sana sasa!.
Lakini mimi kama kocha ninajua hayo kama sio kimahesabu, Lazima tuongeze juhudi kwa hili. Na niamini na wachezaji lakini pia na wafanyakazi wengine, lakini pia taasisi ambayo ni Manchester United kwamba ni makubwa sana yatafanyika hapa na kwa nini? Kwa sababu tuna mashabiki bora kabisa duniani. Asanteni sana kwa hilo na tutaonana tena msimu ujao.
Van Gaal anashuka chini kabla ya kurudi tena.. 
Ninataka kuzungumza kitu kimoja, msikilizeni kwa makini kocha!
Ryan Giggs aliniambia, na siku zote yupo sahihi lakini kwa hili yuko sahihi hasat. Nimewaambia kwamba ninyi ni msahabiki borakabisa duniani lakini usiku wa leo nimefedheheshwa kidogo na nitasema kwa nini.
Nimemuona msichan ambaye amepiga saksafoni kwa umahiri kabisa. mpigieni makofi na vigelegele! 
 


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video