Saturday, May 2, 2015

DIDIER Drogba  jana amehudhuria Shoo ya Chelsea Friday night kuzungumzia furaha yake wakati huu akitarajia kushinda kombe lake la nne la ligi kuu England kesho jumapili.
Chelsea wanahitaji pointi tatu tu kujitangazia ubingwa na wanaweza kufanya hivyo kama watashinda mechi ya kesho dhidi ya Crystal Palace.
Drogba amesema anajivunia makombe aliyobeba mpaka sasa na baada ya kurudi tena klabuni kumalizia soka lake, amejawa na furaha ya kuvaa medali nyingine kwa kutwaa taji la EPL.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video