Steven Gerrard ame-posti picha ya kiatu kikali cha Adidas anachotumia leo jioni katika mechi yake ya mwisho uwanja wa Anfield dhidi ya Crystal Palace.
Steve G katika maisha yake ya soka amekuwa akitumia viatu vya Adidas, hivyo kampuni hiyo inayozalisha vifaa vya michezo imemtengenezea kiatu maalumu na cha ubora wa hali ya juu ikiwa ni zawadi kwake.
Kiatu hicho kimeandikwa maneno maarufu ya Liverpool ‘You’ll Never Walk Alone’ .
Ndani ya kiatu kuna maneno haya:
0 comments:
Post a Comment