Friday, April 24, 2015


SKY Sports wamefanya tafiti kuonesha ni timu gani England imefanya vizuri zaidi katika miaka 50 iliyopita na wametengeza data kwenye jedwali kuonesha matokeo.
Nafasi katika jedwali imetolewa kwa kuangalia wastani wa nafasi inayomaliza timu katika mIsimu yote ndani ya kipindi cha nusu karne.
Ili kukidhi vigezo vya utafiti huo, timu pekee ambazo zimemaliza nafasi nne za juu kwenye ligi za England angalau kwa miaka 15 iliyopita tangu 1964-65 zimejumuishwa.
Jumla ya timu 90 zimejumuishwa katika utafiti huo.
Liverpool imeongoza kwenye wastani wa ligi kuu ambao ni wastani wa 3.3 na sasa wapo nafasi ya tano katika msimamo msimu huu, lakini hawajahi kushinda kombe kwa miaka 26 sasa.
Manchester United imeshika nafasi ya pili kwa wastani wa ligi wa 4.9
Arsenal (4.9) wameshika nafasi ya tatu, wakiuatiwa na Everton (8.8), Tottenham (9) na Chelsea (11).
TIMU YA KWANZA MPAKA 20 SOMA CHINI

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video