Christian Sembuli na Paul Nonga
Seleman Hassan na Rafael Alfa …. mazoezini kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Kagera Sugar unaotarajiwa kupigwa kwenye uwanja wa Sokoine jumamosi hii.
Mchezo kati ya City na Kagera Sugar unatajia kuchezwa jumamosi kwenye uwanja wa Sokoine huku Mwalimu Juma Mwambusi akiwa na imani kubwa na kikosi chake kufanya Vizuri
“Tunaendelea na mazoezi mchezo upo kesho kutwa imani yangu kubwa tutashinda kwa sababu tumedhamiria kuwa sehemu ya timu tano bora kwenye msimamo wa ligi msimu huu”.
0 comments:
Post a Comment