Cristiano Ronaldo baada ya kazi yake ya uwanjani na kazi nyingine, huwa anapenda sana kujiachia na mwanae au na familia kwa ujumla. Picha nyingi anaonekana yupo na mwanae au yupo na mpenzi wake (wa zamani). Kama mastaa wengine ambao hupenda kuweka uhusiano na mastaa wenzao, Cristiano ana urafiki na Floyd Mayweather na pia huwa ana hudhuria matamasha ya muziki ya wasanii wakubwa kama Rihanna.
Enjoy kuangalia picha za maisha ya CR7 kwa upande mwingine zaidi ya uwanjani.
0 comments:
Post a Comment