EVERTON imeichakaza Manchester United magoli 3-0 katika mechi ya mapema ya ligi kuu soka England aliyopigwa uwanja wa Goodison Park.
Goli la kwanza la Everton lilitiwa kambani na James McCarthy dakika ya 5' , John Stones aliandika goli la pili dakika ya 35' kabla ya Kelvin Mirallas kuandika goli la tatu dakika ya 75'.

Manchester United waliendelea kucheza vizuri na takwimu zilisomeka hivi:
statistics :
7
shots on target
4
0
shots off target
5
36
possession (%)
64
7
corners
7
1
offsides
2
6
fouls
10
0
yellow cards
2
4
goal kicks
1
1
treatments
1
0 comments:
Post a Comment