TIMU NNE ZINAZOONGOZA KUWA NA MABEKI 'VIMEO' LIGI KUU BARA..
TIMU nne (Top four) zinazoongoza kufungwa magoli mengi ligi kuu soka Tanzania bara kwasababu ya safu mbovu ya ulinzi na kiungo hizi hapa;
Timu Magoli
Stand United 31
Ndanda fc 29
Mgambo JKT 27
Ruvu Shooting 26
0 comments:
Post a Comment