Monday, April 27, 2015

Nahodha wa Chelsea John Terry (JT) amewajibu Arsenal kwa kuwaambia kamwe hauwezi kucheza mpira ili kuwaridhisha watu wakati huo huo haushindi makombe yoyote.
Beki huyo wa zamnai wa timu ya Taifa ya Uingereza alisema hayo kutokana na timu yake kubezwa na mashabiki na kocha wa Arsena kuwa mchezo wao wa kujilinda unaudhi'boring, boring' kwa sababu ya kutumia muda mwingi kujilinda kuliko kushambulia.
Terry amesema hayo huku akiungana na kocha wake Jose Mourinho kujibu mashambulizi hayo, Morinho yeye kwa upande wake aliwaambia mashabiki wa Arsenal kuwa kinachoudhi ni kukaa miaka 11 bila ubingwa ligi kuu nchini Uingereza na sio mchezo wa Chelsea.
Terry aliongeza kuwa mpira wa pasi nyingi na kushambulia kweli ni mzuri, lakini kama unacheza hivyo halafu haupati matokeo, maana yake kamwe hauwezi kuwa bingwa.
Sisi hatuudhi mtu hata kidogo, na kama tutabeba ubingwa huu, kamwe hakuna mtu atakayekumbuka kama sisi tulikuwa tukicheza mpira wa aina hii.
"Lakini kumbuka tu wakati tunaanza msimu sisi ndiyo tulikuwa timu inayocheza mpira wa kuvutia kuliko timu yoyote, hasa ukiangalia mchango wa Fabregas ambaye mpaka sasa ameshatoa pasi za magoli 16 na ndiye anayeongoza, sasa kivipi tena tuwe tunaudhi?,"alisema Terry.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video