Wachezaji ambao kwa sasa ulimwenguni wanaaminika kuwa ndiyo bora yaani Lionel Messi na Christiano Ronaldo wanasifika kwa kuvunja kila rekodi ambazo zimeshawahi kuwekwa na nguli mbalimbali wa mchezo wa soka hapa ulimwenguni.
Ndiyo wachezaji pekee ambao wamekuwa wakishindana kwenye kila nyanja.
Wanacheza ligi moja ambapo mpaka sasa wanachuana vikali katika kutafuta mfungaji bora wa msimu huku Messi akiwa kaachwa magoli 4 na Ronaldo La Liga, Ronaldo ana magoli 39 wakati Messi akiwa na magoli 35.
Lakini sio hapo tu wamekuwa pia wakichuana vikali katika suala la ufungaji bora wa michuano ya UEFA ambapo kila mmoja anatawala kwa wakati wake.
Msimu huu wa UEFA mpaka sasa Messi yupo juu ya Ronaldo akiwa na magoli 8 huku Ronaldo akiwa na magoli 6.
Hizi ndizo rekodi zao.

0 comments:
Post a Comment