Friday, April 24, 2015


Floyd Mayweather na Manny Pacquiao watapanda ulingoni mei 2 mwaka huu huko Las Vegas, Marekani katika pambano kali la kihistoria.
Stori kubwa ya pambano hilo kwa sasa ni kuuzwa kwa tiketi ambapo jana waandaji walianza kuuza tiketi kuanzia majira ya saa 8:00 kwa saa za England.
Tiketi 500 na 1000 ziliuzwa kwa dola za kimarekani 1,500 (£996) na  7,500 (£4,982).
MGM Grand ina uwezo wa kuchukua watazamaji  elfu 16,500, lakini tiketi nyingi zimepelekwa kwa makambi ya  Mayweather na Pacquiao's camps pamoja na watanzaji wa TV.
Mpaka jana jioni tiketi elfu 50 zilikuwa zimeuzwa ndani ya dakika moja kuanzia saa mbili.
Less than a minute after 8pm, the Ticketmaster website announces that no tickets are available  
Sio zaidi ya dakika moja, Tovuti inayouza tiketi ilitangaza kuwa hakuna tiketi ilityobaki.
One ticket for the May mega-fight was advertised for $70,790 (£47,000) on the secondary market

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video