Dawson akifunga goli pekee la ushindi
LIVERPOOL wameendelea kuwa katika wakati mgumu baada ya kukubali kichapo cha goli 1-0 dhidi ya Hull City.
Goli la ushindi katika mechi hiyo pekee ya ligi kuu soka iliyomalizika usiku huu uwanja wa KC.
England (EPL) limefungwa na Michael Dawson katika dakika ya 37'.
Hilo ni goli la kwanza wa Dawson katika miaka miwili iliyopita.
Katika mechi hii iliyokuwa na umuhimu kwa Liverpool, Mario Balotelli amecheza chini ya kiwango na alitolewa baada ya kupata majeraha.
0 comments:
Post a Comment